ADVERTISEMENT
ADVERTISEMENT

MCHANGANYIKO

ZIARA YA UKAGUZI YA MHE. DKT. ANGELINE MABULLA KILOMBERO – MOROGORO

By

on

Naibu Waziri wa Ardhi, Nyumba na Maendeleo ya Makazi, Mhe. Dkt. Angeline Mabulla akikagua majalada katika masijala ya ofisi ya Ardhi, wilaya ya Kilombero – Morogoro. Walioambatana naye ni Kamishna wa ardhi msaidizi; Juliana Pila na Mkurugenzi wa Idara ya Sera na Mipango, Wizara ya Ardhi, Nyumba na Maendeleo ya Makazi; Bwn. Ezekiel Mpanda.

VA 1

Naibu Waziri wa Ardhi, Nyumba na Maendeleo ya Makazi, Mhe. Dkt. Angeline Mabulla akitoa maelekezo kuhusu utunzwaji bora wa majalada kwa afisa ardhi mteule wa wilaya ya Kilombero – Morogoro. Walioambatana naye ni Kamishna wa ardhi msaidizi; Juliana Pila na Mkurugenzi wa Idara ya Sera na Mipango, Wizara ya Ardhi, Nyumba na Maendeleo ya Makazi; Bwn. Ezekiel Mpanda.

VA 2

Naibu Waziri wa Ardhi, Nyumba na Maendeleo ya Makazi, Mhe. Dkt. Angeline Mabulla akitoa maelekezo kuhusu utunzwaji bora wa machapisho na nyaraka mbalimbali katika ofisi ya ardhi, kwa afisa ardhi mteule wa wilaya ya Kilombero – Morogoro.

VA 4

Naibu Waziri wa Ardhi, Nyumba na Maendeleo ya Makazi, Mhe. Dkt. Angeline Mabulla akikagua utekelezaji wa upimaji ardhi, uliofanyika katika kijiji cha Mikoleko, wilaya ya Kilombero – Morogoro. Alioambatana nao ni watendaji wa ofisi ya Kanda ya kati (Morogoro) na mradi wa kuwezesha umilikishaji ardhi (LTSP).

VA 3

Naibu Waziri wa Ardhi, Nyumba na Maendeleo ya Makazi, Mhe. Dkt. Angeline Mabulla katika picha ya pamoja na watendaji wa ofisi ya Kanda ya kati (Morogoro), mradi wa kuwezesha umilikishaji ardhi (LTSP) na Mkurugenzi wa Idara ya Sera na Mipango, Wizara ya Ardhi, Nyumba na Maendeleo ya Makazi; Bwn. Ezekiel Mpanda.

 Na Kitengo cha Mawasiliano Serikalini

Wizara ya Ardhi, Nyumba na Maendeleo ya Makazi

Facebook Comments

You must be logged in to post a comment Login

Close