ADVERTISEMENT
ADVERTISEMENT

ELIMU

WANAODAIWA NA BODI YA MIKOPO WATAKIWA KULIPA MADENI YAOWANAODAIWA NA BODI YA MIKOPO WATAKIWA KULIPA MADENI YAO

By

on

Benjamin Sawe,Maelezo.

Bodi ya mikopo ya Elimu ya Juu nchini imewataka wanaodaiwa na Bodi hiyo kurejesha mikopo yao ili na wengine waweze kukopa badala ya kusubiri kuchukuliwa hatua.

Akiongea katika kipindi cha Tunatekeleza kinachorushwa naTelevisheni ya Taifa (TBC) Mkurugenzi wa Bodi ya mikopo ya Elimu ya Juu Abdul Badru alisema tangu waanze mfumo wa kuwabana wadaiwa kupitia waajiri wao kasi ya urejeshwaji mikopo imeongezeka.

Alisema pamoja na kuwabana pia wamekuwa wakitoa elimu kuhusu umuhimu wa kurejesha mikopo hiyo pamoja na kutunga sheria ya kuwabana wasio lipa mikopo.

Awalikablayakuwekwakwamsukumokatikakudaimikopohiyourejeshwajiulikuwawastaniwashilingibilioni 5 mpaka 6 kwamwezilakinikwasasawanapatamarejeshoyamikopozaidiyaBilioni 10.

Bw. Badru alisema hivi sasa wameboresha mfumo wautoaji mikopo kwa kuziba mianya ya wanafunzi hewa pamoja na wale wasiokuwa na sifaambaowamekuwawakipelekavielelezovyauongo.

Alisemalichayakupitishwakwaorodhayawanafunziwanaostahilimikopouhakikiumekuwaukifanyikakilabaadayamiezimitatuambapomaofisawabodihiyohuendavyuoniilikujiridhishakamawanafunziwaliolengwakwenyemikopohiyowapo.

“Kwa mfano mwakajanawanafunzielfutatumiongonimwawalioombamikopokwamadaiyakufiwanawazaziwaliwasilishavyetivyaVifovyawazaziwaoambavyobaadayakupelekwa RITA walishindwakuvitambua”Alisema BADRU.

Alisemamwanafunzianayekosamkopokamaanavyovigezovyotevinavyotakiwahutakiwakukatarufaailiufanyikeupitiajiupyawanyarakazake.

Kwa mwakawafedha 2016/2017 jumlayashilingiBilioni 483 zimetengwakwaajiliyakuwakopeshawanafunzi 120,000 kutokavyuotofautinchini.

 

Facebook Comments

You must be logged in to post a comment Login

Close