ADVERTISEMENT
ADVERTISEMENT

RUVUMA TV

VIDEO:WAKAZI WA MJI WA SONGEA WAJITOKEZA KWA WINGI KUCHANGIA DAMU

By

on

Kila ifikapo juni 14 ya kila mwaka ni siku ya kuchangia damu kwa hiari ,katika mkoa wa ruvuma Wakazi wa manispaa ya songea wamejitokeza kwa wingi kuchangia damu

Lakini licha ya wananchi kujitokeza kwa wingi manispaa ya MANISPAA YA SONGEA yakabiliwa na uhaba wa damu katika hospitali ya RUFAA YA MKOA WA SONGEA,KITUO CHA AFYA MJIMWEMA  kama anavobainisha msimamizi wa shughuli za mahabara  MAGRETHI NGONYANI.

habari kamili hii hapa video yake.

Facebook Comments

You must be logged in to post a comment Login

Close