ADVERTISEMENT
ADVERTISEMENT

RUVUMA TV

VIDEO: MKURUGENZI WA HALIMASHAURI YA SONGEA VIJIJINI ,APEWA SIKU TANO TU KUMLETA DEREVA

By

on

Baraza la Madiwani la Halimashauri ya Wilay ya Songea vijijni  mkoani Ruvuma, wamempa siku tano  Mkurugenzi wa Halimashauri hiyo kutafuta dereva wa gari la wagonjwa katika kata ya mhukuru, kauli hiyo imekuja mara baada ya kata hiyo kuwa na gari la wagonjwa bila kuwa na dereva.  Hatua hiyo inamlazimu mweyekiti wa halimashauri hiyo RAJABU MTIURA kutumia mamlaka yake ya kisheria ya kumpa siku chache kaimu mkurugenzi kumleta dereva mara moja.

Facebook Comments

You must be logged in to post a comment Login

Close