ADVERTISEMENT
ADVERTISEMENT

RUVUMA TV

VIDEO:RPC RUVUMA ATOLEWA UFAFANUZI WA SILAHA ZINAZOMILIKIWA NA WATU.

By

on

Jeshi la polisi mkoa wa RUVUMA limetoa ufafanuzi juu ya silaha walizozichukua kwa wamiliki kwa ajili ya uhakiki na kusema zitarejeshwa kwa wahusika na akatoa tadhari kwa wamiliki hao kuwa nazo makini,hayo yamebainishwa na kamanda wa polisi GIMMIN MUSHY .

Facebook Comments

You must be logged in to post a comment Login

Close