ADVERTISEMENT
ADVERTISEMENT

RUVUMA TV

VIDEO:RC RUVUMA LAZIMA VIONGOZI WA WILAYA MTATUE MATATIZO YA MAENEO YENU.

By

on

Mkuu wa mkoa wa Ruvuma Dokta Bilinith Mahenge amefanaya ziara ya kukutana wananchi wa wilaya ya namtumbo kwa lengo la kutatua kero zinazowakabili katika wilaya hiyo,na hapa mkuu wa mkoa Dokt Mahenge anakutana na maswali magumu kutoka kwa wananchi hao huku idara ya maji na kilimo yakipamba moto.

Facebook Comments

You must be logged in to post a comment Login

Close