ADVERTISEMENT
ADVERTISEMENT

RUVUMA TV

VIDEO:RAIS MAGUFULI AKUTANA NA MWENYEKIT BODI YA BARRICK GOLD MMLIKI WA ACACIA MINING

By

on

Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Dkt. John Pombe Magufuli amekutana na kufanya mazungumzo na Mwenyekiti wa Kampuni ya Barrick Gold Corporation ambayo ni mmiliki mkubwa wa kampuni ya Acacia Mining Limited Prof. John L. Thornton na kukubaliana kuwa kampuni hiyo ipo tayari kufanya mazungumzo na Serikali ya Tanzania ili kulipa fedha ambazo Tanzania imezipoteza kutokana na kampuni hiyo kuendesha shughuli zake hapa nchini.

Facebook Comments

You must be logged in to post a comment Login

Close