ADVERTISEMENT
ADVERTISEMENT

RUVUMA TV

VIDEO:MAKAMU WA RAIS AMEWATAKA WAKUU WA WILAYA KUSIMAMIA VYEMA UHIFADHI WA MAZINGIRA NCHINI

By

on

Makamu wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe Samia Suluhu Hassan amewaagiza Wakuu wa wilaya nchini kuchukua hatua stahiki katika kulinda na kuhifadhi mazingira katika wilaya zao ili kukabiliana uharibifu mkubwa wa mazingira kwenye misitu na vyanzo vya maji ili visikauke na kuleta athari kwa binadamu na viumbe wengine.

Makamu wa Rais Mhe Samia Suluhu Hassan ametoa kauli hiyo mara baada ya kukabidhiwa Taarifa ya Kikosi Kazi cha Mkoa wa Mbeya na Mkuu wa mkoa wa huo Amos Makalla kuhusu Mapendekezo ya Marekebisho ya mpaka kati ya Hifadhi ya Taifa ya Ruaha na Vijiji katika wilaya za Mbarari na Chunya – Ikulu, Jijini Dar es Salaam.

Facebook Comments

You must be logged in to post a comment Login

Close