ADVERTISEMENT
ADVERTISEMENT

RUVUMA TV

VIDEO:MAKAMU WA RAIS AMEAHIDI KUTOA MILIONI TANO KATIKA UJENZI WA HOSPITALI YA WILAYA SERENGENTI

By

on

Makamu wa Rais mama SAMIA HASSANI amesema kutokana na wilaya ya Serengeti kupata wegeni wengi kutoka nje ya nchi ambao wanaenda kutembelea Hifadhi ya Taifa ya Serengeti  hivyo ni muhimu kwa viongozi wa wilaya na mkoa kwa ushirikiano na wadau wa maendeleo kukamilisha ujenzi huo haraka ili wananchi waweze kupata huduma za afya za uhakika katika wilaya yao.

Makamu wa Rais amesema kukamilika kwa ujenzi huo wa awamu ya kwanza kutaondoa taabu kubwa wanayopata wananchi wa wilaya ya Serengeti katika kupata huduma ya afya karibu na maeneo yao.

 

Facebook Comments

You must be logged in to post a comment Login

Close