ADVERTISEMENT
ADVERTISEMENT

RUVUMA TV

VIDEO:IGP SIRRO WAKAZI WANAMTUMBO ACHENI KUJIHUSISHA NA NYARA ZA SERIKALI.

By

on

Jeshi la polisi Mkoani Ruvuma litaimarisha ulinzi sehemu zote zinazozunguka mkoa huu ili kuleta amani hususani katika wilaya zianzopakana na nchi jirani za msumbiji na malawi na kuongeza askali katika baadhi ya maeneo,hayo yamesemwa na mkuu wa jeshi la polisi nchi IGP SIMONI SIRRO wakati wa ziara yake ya siku moja mkoani hapa habari kamili hii hapa video yake.

Facebook Comments

You must be logged in to post a comment Login

Close