ADVERTISEMENT
ADVERTISEMENT

RUVUMA TV

VIDEO:AGIZO LA MAKAMU WA RAIS KWA VIONGOZI WENYE ZANA HARAMU MKOANI MARA

By

on

Makamu wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe Samia Suluhu Hassan amewaagiza viongozi wenye zana haramu za uvuvi kuacha mara moja kwani hatua kali za kisheria zitachukuliwa kwa wale watakao kaidi rai hiyo ameitoa wakati wa kuhitimisha ziara yake mkoani mara kwa kuteketeza nyavu haramu zinazotumiwa na baadhi ya watu

Facebook Comments

You must be logged in to post a comment Login

Close