ADVERTISEMENT
ADVERTISEMENT

RUVUMA TV

VIDEO.MKUU WA MKOA ATOA MILIONI TATU KWA AJILI YA MRADI WA KUKU KWA WALEVU WA NGOZ

By

on

Mkuu wa mkoa wa ruvuma dkt bilinith mahenge ametoa shilingi milioni tatu, ili kusaidia kikundi cha watu wenye ulemavu wa ngozi na macho albino cha wilaya ya songea, kwa ajili ya kuanzisha mradi wa ufugaji wa kuku wa nyama.

Akikabidhi kiasi hicho cha fedha mkuu wa mkoa amewaka wanakikundi hao kutimiza malengo ili waweze kuwasaidia hata watu wengine wenye matatizo mbalimbali.hbari kamili hii hapa video yake

 

Facebook Comments

You must be logged in to post a comment Login

Close