ADVERTISEMENT
ADVERTISEMENT

RUVUMA TV

VIDEO – KIJANA AELEZEA MKASA WA BABA YAKE MZAZI PAMOJA NA BIBI YAKE WALIVYOLIWA NA MAMBA

on

Kijana Emidio Nkoma mkazi wa kijiji cha Londo kilichopo Wilaya ya Nyasa Mkoani Ruvuma, Aelezea mkasa wa baba yake mzazi pamoja na bibi yake walivyoliwa na mamba katika Daraja la mto Rwika ambalo linaunganisha kijiji cha Londo na Ngido .

Facebook Comments

Recommended for you

You must be logged in to post a comment Login

Close