ADVERTISEMENT
ADVERTISEMENT

RUVUMA TV

VIDEO -CHEKELENI NI MLEMAVU WA MIKONO, ANANDOTO ZA KUWA NESI,SAIDIA KUTIMIZA NDOTO YAKE

By

on

Nikiwa katika Wilaya ya Masasi mkoani Mtwara nimekutana na mwanafunzi wa darasa la sita katika shule ya msingi MKWAPA , iliyopo Wilayani humo Mkoani Mtwara  CHEKELENI RASHID ambaye  amezaliwa akiwa na ulemavu  wa mikono( amezaliwa akiwa hana mikono) mwenye ndoto za kuwa Nesi. Hii hapa Video yake.

Facebook Comments

Recommended for you

You must be logged in to post a comment Login

Close