ADVERTISEMENT
ADVERTISEMENT

MCHANGANYIKO

SERA MPYA YA UJENZI KUKAMILIKA HIVI KARIBUNI

By

on

Mkurugenzi wa Idara ya Sera na Mipango wa Wizara ya Ujenzi, Uchukuzi na Mawasiliano, Sekta ya Ujenzi, Bi. Elizabeth Tagora, akifungua rasmi warsha ya siku moja, ya wadau wa ujenzi, kujadili mapitio ya Sera mpya ya Ujenzi, mjini Dodoma.

2

Mwezeshaji wa mapitio ya Sera mpya ya Ujenzi, Bw. Cyril Batalia akifafanua jambo kwa wadau wa sekta ya ujenzi,wakati wa warsha ya kujadili na kuboresha sera hiyo, mjini Dodoma.

3

Wadau wa Sekta ya Ujenzi, wakifatilia uwasilishaji wa mapitio ya Sera mpya ya ujenzi katika warsha ya siku moja ya uboreshaji wa Sera hiyo, mjini Dodoma.

4

Mkurugenzi wa Idara ya Sera na Mipango wa Wizara ya Ujenzi, Uchukuzi na Mawasiliano, Sekta ya Ujenzi, Bi. Elizabeth Tagora (katikati), akiwa katika picha ya pamoja na wadau wa sekta ya Ujenzi mara baada ya kujadili mapitio ya Sera mpya ya Ujenzi, mjini Dodoma.

Imetolewa na Kitengo cha Mawasiliano Serikalini, Wizara ya Ujenzi, Uchukuzi na Mawasiliano,

Facebook Comments

You must be logged in to post a comment Login

Close