ADVERTISEMENT
ADVERTISEMENT

MICHEZO

MKUNDE AZIMA NDOTO ZA YANGA KUMNYAKUA ‘AONGEZA MIAKA MIWILI SIMBA’

By

on

atimaye Nahodha wa klabu ya Simba, Jonas Mkude amezima ndoto za Yanga baada ya kuongeza mkataba na klabu yake hiyo wa miaka miwili wa kukitumikia kikosi cha mabingwa wa Kombe la FA.
 
Kulikuwa na mvutano na timu yake kwa dau kubwa ambalo alilokuwa anataka huku kukienea tetezi kuwa mahasimu wao wakubwa Yanga walikuwa wanamhitaji hii baada ya mshambuliaji wao hatari Ibrahimu Ajibu kujiunga na Mabingwa hao wa kihistoria nchini Tanzania.
 
“Ameongeza mkataba wa miaka miwili, ilikuwa ni baada ya kukamilisha majadiliano ambayo yalikuwa yamefikia zaidi ya asilimia 99,” kilieleza chanzo.
Facebook Comments

You must be logged in to post a comment Login

Close