ADVERTISEMENT
ADVERTISEMENT

MITANDAONI

MANENO YA RC MAKONDA KWA MRISHO MPOTO ‘KWENDA KWAKO CHINA NI MATOKEO YA KUJITUMA’

on

Mkuu wa Mkoa wa Dar es salaam, Paul Makonda amempongeza Msanii wa muziki wa asili, Mrisho Mpoto kwa kwenda China katika Tamasha la Utalii Duaniani kwaajili ya kuiwakilisha Tanzania.

RC Makonda ametumia mtandao wake wa Kijamii wa Instagram kuonyeshwa kufurahishwa na kujituma kwa mwanamziki huo

Kwenda kwako China 🇨🇳 ni matokeo ya kujituma kwako na kutokubali kukatishwa tamaa. Nimefurahi sana kuona mziki wako unabeba nembo na heshima ya utamaduni wetu. Endelea kutupeperushia Bendela yetu na kuitunza heshima ya taifa letu kupitia sanaa.

Mrisho Mpoto aliondoka nchini Tanzania siku ya Jumatatu akiwa ameambatana na kikundi chache cha ngoma kikiwa na jumla ya watu sita pamoja na yeye mwenyewe.

Facebook Comments

You must be logged in to post a comment Login

Close