ADVERTISEMENT
ADVERTISEMENT

BURUDANI

LEO 24 APRIL SIKU YA KUZALIWA SENSEI RUMADHA FUNDI

By

on

Leo tarehe 24 April ndio siku ya kuzaliwa mwalimu wa dojo na yoga wa kimataifa Sensei Rumadha Fundi mwenye makao yake nchini marekeni,gwiji huyu mwafrika anayetambuliwa na baraza la mchezo huo la dunia lenye makao yake kule Okinawa,Japani. S

ensei Rumadha Fundi ni mwalimu wa sanaa za mapambano Karate “OkinawaGoju Ryu Jundokan Kyokai” kwa takribani miaka 35 ambaye alipata mafunzo ya juu ya mchezo huo kule Okinawa ,Japan,pia ni mkufunzi guru wa Yoga ambaye amepata shahada za juu nchini India mwazoni mwa miaka ya 1980s  watanzania tuna kila sababu ya kujivunia mtaalam wetu huyu wa kimataifa Happy Birthday Sensei Rumadha Fundi kutoka uswahili kariakoo hadi kimataifa.

Facebook Comments

You must be logged in to post a comment Login

Close