ADVERTISEMENT
ADVERTISEMENT

MCHANGANYIKO

EDWARD LOWASSA AMEACHIWA HURU BAADA YA OFISI YA DCI KUMUHOJI

on

Kwa mujibu wa Wakili Peter Kibatala, Mjumbe wa Kamati Kuu wa Chadema, Edward Lowassa ameachiwa huru baada ya Ofisi ya DCI kumuhoji kuhusu kauli zinazodaiwa kuwa ni za kichochezi alizotoa Juni 23 mwaka huu, katika futari iliyoandaliwa na Mbunge wa Ukonga na kutakiwa kuripoti tena Juni 29 mwaka huu

Facebook Comments

You must be logged in to post a comment Login

Close