ADVERTISEMENT
ADVERTISEMENT

SIASA

DIWANI WA CHADEMA AJIVUA UAANACHAMA NA KUJIUNGA CCM

on

Diwani wa kata ya shule ya tanga  iliyopo mjini songea mkoani ruvuma kupitia chama cha demoklasia na maendeleo ( CHADEMA) mussa ndomba amerudisha kadi ya chama hicho na kujiunga na chama tawala cha mapinduzi ( CCM ).

Sababu za NDOMBA kuachia madaraka na kujivua uanachama anasema chama hicho kimekuwa kikiendeshwa kinyume na katiba iliyopo huku akitishiwa maisha na badhi ya viongozi wake.

Facebook Comments

You must be logged in to post a comment Login

Leave a Reply

Close