ADVERTISEMENT
ADVERTISEMENT

MITANDAONI

Diamond Afurahia Kiki za Gwajima…Amshauri Shetta Kumuoa Mange

By

on

By @diamondplatnumz
@officialshetta ndugu yangu, Najua unanionea gere mwenzako toka juzi insta imehamia Madale….na wewe unataka kuingia kwenye huu upepo wa #Mzikisiasa …we usijiulize ingia tu?…maana mjini sasa hivi vingoma vya Mapenzi Vigumu…ikiwezekana jifanye hata unataka kumtolea Mahali Mange Umuoe…Kesho mji wote wako…..ila kuna mawili: Sentro au Matusi???? – #SimbaMason

Facebook Comments

You must be logged in to post a comment Login

Close